Facebook

Friday, 18 July 2014

Filipe Luis rasmi Chelsea

 Photo: Chelsea na Atletico Madrid wamekubaliana dili la £35m kwa ajili ya huduma ya beki wa kushoto, mbrazil Filipe Luis ambaye atachukua nafasi ya mkongwe Ashley Cole aliyetimkia klabu ya Roma ya Italia.

Filipe mwenye umri wa miaka 28, atajiunga na mchezaji mwezake Diego Costa na kujiunga na klabu ya Chelsea chini ya kocha Jose Mourinho akimaliza vipimo vya afya wiki hii.

Filipe anakua mchezaji wa nne kusajiliwa katika msimu huu wa usajili akiwafuata Costa, Fabregas pamoja na kiungo mdogo Pasalic.

Unaonaje jinsi ambavyo usajili wetu unavyokwenda......kama umependa gonga Like na kama una maoni nani aongezwe COMMENT
Chelsea na Atletico Madrid wamekubaliana dili la £35m kwa ajili ya huduma ya beki wa kushoto, mbrazil Filipe Luis ambaye atachukua nafasi ya mkongwe Ashley Cole aliyetimkia klabu ya Roma ya Italia.

Filipe mwenye umri wa miaka 28, atajiunga na mchezaji mwezake Diego Costa na kujiunga na klabu ya Chelsea chini ya kocha Jose Mourinho akimaliza vipimo vya afya wiki hii.

Filipe anakua mchezaji wa nne kusajiliwa katika msimu huu wa usajili akiwafuata Costa, Fabregas pamoja na kiungo mdogo Pasalic.

0 comments:

Post a Comment