Arsene
Wenger akiongea French TV: "Kwa nini sikumsajili Cesc Fabregas? Ok
nachoweza kusema ni kwamba kariri jina Gedion Zelalem."
Akimaanisha kwamba baadae tutakuja ona uwezo wa huyu dogo, kumsajili Cesc kwa sasa ni kumnyima dogo nafasi ya kuonesha uwezo wake.
Unakubaliana na sababu ya Wenger kutokumrudisha Cesc, kama tupia comment hapa chini.

0 comments:
Post a Comment