Kocha
wa Man united Lous Van Gaal amekubali kumuuza winga kinda Wilfried Zaha
kwa kiasi cha milioni £7.
katika dirisha la usajili la majira ya joto
baada ya miezi 18 aliyo kaa kinda huyu
katika timu ya Man united baada ya kusajiliwa kwa dau la paundi milioni
15 toka Crystal Palace.
Newcastle United nimoja ya timu ambazo
zimeonyesha nia ya kutaka huduma ya kinda huyo,ambae alishindwa kufanya
vizuuri katika msimu wake wa kwanza katika timu ya Man united
0 comments:
Post a Comment