Manchester
United watakwenda nchini Marekani ikiwa ni ziara yao kwa mechi za
majaribio kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Tarehe 23 mwezi huu dhidi ya LA Galaxy
Tarehe 26 mwezi huu dhidi ya AS Roma
Tarehe 29 mwezi huu dhidi ya Inter Milan
Tarehe 02 mwezi ujao dhidi ya Real Madrid
Tarehe 23 mwezi huu dhidi ya LA Galaxy
Tarehe 26 mwezi huu dhidi ya AS Roma
Tarehe 29 mwezi huu dhidi ya Inter Milan
Tarehe 02 mwezi ujao dhidi ya Real Madrid

0 comments:
Post a Comment