.
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho inaarifiwa amempigia simu kiungo wa Real Madrid Sami Khedira kujaribu kumshawishi mchezaji huyo wa Ujerumani kwenda Darajani badala ya Arsenal, limesema shirika la habari la ABC, na kukaririwa na Goal.com.

Wakati huohuo
mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli huenda akabakia Italia licha
ya kufuatiliwa na Arsenal na Liverpool. Mchezaji huyo wa kimataifa wa
Italy amesema yuko tayari kuungana na kikosi kizima katika mechi za
kabla ya kuanza msimu nchini Marekani, kwa mujibu wa Daily Mirror.
0 comments:
Post a Comment