Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali baranI Ulaya.
Uhamisho wa Luis Suarez kutoka Liverpool kwenda Barcelona bado
unasuasua kutokana na kutokubaliana jinsi ya kukamilisha ada ya pauni
milioni 75 (Daily Mail),
Beki wa kulia kutoka Ufaransa Mathieu Debuchy,
28, an…Read More
Ashley Cole ajiunga rasmi AS Roma.
Beki wa zamani wa Chelsea Ashley Cole amejiunga na klabu ya Roma ya Italia kwa mkataba ya miaka miwili. Roma ime 'tweet' picha ya Cole na kuthibitisha kupitia tovuti yao kuwa mchezaji huyo amesaini mkataba hadi mwaka 201…Read More
Sanchez akaribia kutua Arsenal
Arsenal
wamefikia makubaliano ya £34million na Barcelona kwa ajili ya mchezaji
wa kimataifa wa Chile - Alexis Sanchez kwa sharti kwamba watapewa
mchezaji huyo kama klabu nyingine haitafikia dau walilotoa Arse…Read More
Wilferd Zaha atimkia Newcastle.
Kocha
wa Man united Lous Van Gaal amekubali kumuuza winga kinda Wilfried Zaha
kwa kiasi cha milioni £7.
katika dirisha la usajili la majira ya joto
baada ya miezi 18 aliyo kaa kinda huyu
katika timu ya Ma…Read More
Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya.
Arsenal wameanza tena kumfuatilia kiungo wa Bayer Leverkusen Lars
Bender, huku Arsene Wenger akiwa anakaribia kukamilisha usajili wa
Alexis Sanchez na beki Mathew Debuchy (Daily Telegraph),
Arsenal
wamek…Read More
0 comments:
Post a Comment