David Rudisha ameshinda mbio za mita 800 wanaume katika mbio za Diamond League za Scotland.
Mara ya mwisho kuwa nchini Uingereza Rudisha alishinda medali ya dhahabu katika michuano ya Olimpiki ya London 2012.
Mwanariadha huyo kutoka Kenya, ambaye ndio amerejea baada ya kuwa majeruhi, amekimbia kwa muda wa dakika moja na sekunde 43.34.
0 comments:
Post a Comment