Jorge
Mendes - Angel di Maria ataondoka Real Madrid kisha atajiunga na
Manchester United baada ya fainali za kombe la dunia. Tumepokea ofa
nyingi kutoka klabu tofauti lakini tumeipendekeza Manchester United kwa
kuwa tuna mahusiano mazuri.
Jorge Mendes - wakala wa Luis Nani, Pepe, Fabio Coentrao. James Rodrigues, Angel di Maria, Ramed Falcao na Christiano Ronaldo.
Jorge Mendes - wakala wa Luis Nani, Pepe, Fabio Coentrao. James Rodrigues, Angel di Maria, Ramed Falcao na Christiano Ronaldo.
Endelea kutembelea www.bantutz.com kupata habari mbalimbali kutoka katika mtandao wetu kwa muda na wkati muafaka bila zemgwe.Kazi yetu ni kukuhabarisha hatutasita kukupa habari pindi tutakapokuwa umetufikia.
0 comments:
Post a Comment