Facebook

Saturday, 5 July 2014

Vidic awekwa kwenye vitabu vya Historia Man Utd.

 Manchester United Supporters in Tanzania's photo.
Nemanja Vidic siku ya kwanza baada ya kuwasili na kujiunga na Inter Milan. Amewekwa kwenye History na kumbukumbu ya Manchester United kama beki bora aliyepita katika uongozi wa Manchester United kwa miaka yote.
Manchester United Supporters in Tanzania's photo.
MAKOMBE ALIYOBEBA AKIWA NA MANCHESTER UNITED!!

Ligi Kuu (mara 5)
2006–07, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13

Kombe la Ligi (mara 3)
2005–06, 2008–09, 2009–10

FA Ngao ya Hisani (mara 5)
2007, 2008, 2010, 2011, 2013

Ligi ya Mabingwa Ulaya (mara 1)
2007–08

Kombe la Dunia la club (mara 1)
2008

  Endelea kutembelea www.bantutz.com kupata habari mbalimbali kwa wakati na muda muafaka hususan katika kipindi hiki ncha usajili barani Ulaya.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment