Facebook

Wednesday, 16 July 2014

LIVERPOOL YAKAMILISHA USAJILI WA MARKOVIC

 Photo: LIVERPOOL YAKAMILISHA USAJILI WA MARKOVIC
Liverpool wamekamilisha usajili wa winga kutoka Serbia Lazar Markovic kwa pauni milioni 20 kutoka Benfica.
Markovic, 20, anakuwa usajili wa nne kwa Liverpool kipindi hiki.
Markovic aliisaidia Benfica kushinda ligi ya Ureno msimu uliopita, akitokea klabu ya Partizan Belgrade mwaka 2013.
Liverpool tayari wamewasajili Rickie Lambert na Adam Lallana kutoka Southampton na Emre Can kutoka Bayer Leverkusen.

Related Posts:

  • Schneiderlin kutua Man United kwa ada ya Euro milioni 25Manchester United imevutiwa na kutaka kumsaini mchezaji kiungo wa Southampton Morgan Schneiderlin..Kiungo huyo wa miaka 25 ni mmoja wa viungo waliocheza vizuri msimu uliomalizika wa Premier League.Timu ya Arsenal na Tottenha… Read More
  • Walcott akataa kuzungumzia mkataba mpya ArsenalTheo Walcott hataki kuonyesha muelekeo wake ndani ya Arsenal ingawa mkataba wake umebakisha mwaka mmoja kuisha.Walcott alifunga katika fainali ya FA dhidi ya Aston Villa kwa ushindi wa 4 - 0.Mchezaji huyo ameviambia vyombo … Read More
  • Man United wapewa nafasi kubwa kumnasa Gundogan.Manchester United inamwinda mchezaji IIkay Gundogan kutoka Dortmund lakini taarifa zinasema mchezaji huyo yupo katika mazungumzo na vilabu vingine vya Bayern Munich na Barcelona. Timu za Arsenal, Chelsea zinatajwa kumchu… Read More
  • Brendan Rodgers asalia Liverpool. Brendan Rodgers anabaki klabuni Liverpool baada ya mazungumzo mazuri na mwenyekiti wa timu hiyo Tom Werner. Mazungumzo hayo yame mbakisha Rodgers kuwa meneja wa Liverpool. Je! maamuzi ya kumbakisha Brendan Anfield, ikiwa t… Read More
  • Madrid wafungua mazungumzo na Raheem Sterling.Real Madrid imefungua mazungumzo ya kumnyaka mchezaji Raheem Sterling kwa ada ya uhamisho wa Euro milioni 45.Mchezaji huyo machachali anataka kuondoka Liverpool na matajiri wa Hispania wapo tayari kukamilisha mpango wa ku… Read More

0 comments:

Post a Comment