Ripoti
nchini Ufaransa zinasema klabu ya Nice na Arsenal wameingia makubaliano
ya mauzo ya Ospina kutoka klabu hiyo ya Ufaransa kujiunga na Arsenal.
"Starsport revealed that representatives from Arsenal had been discussing personal terms with the stopper after starring in his country's World Cup run."
Ingawa si rahisi Wojciech Szczesny kupoteza namba 1 kirahisi, Ospina bila shaka atachuana nae sawa sawa kwani kipa huyo ni mmjoa wa makipa waliofanya vizuri Kombe la Dunia baada ya kuisaidia Colombia kutinga mpaka robo fainali na kutolewa kwa mbinde na wenyeji Brazil.
Ospina anapatikana kwa bei chee baada ya kukataa ofa mpya kutoka klabu yake ya sasa ya Nice ili kurefusha mkataba na klabu hiyo ya Ligue 1 na kwa sasa amebakisha miezi 1 tu.
Arsenal wanahitaji sana kipa kwa sasa kwani Lukasz Fabianksi kajiinga na Swansea huku Emiliano Viviano akirudi Palermo.

0 comments:
Post a Comment