Facebook

Thursday, 17 July 2014

Manchester United imeingia tena makataba mwingine mkubwa.

Photo: MANCHESTER UNITED IMEINGIA MKATABA TENA. 

Kampuni ya vyakula kutoka Japan inayojulikana kama NISSIN FOOD COMPANY imeingia mkataba na Manchester United. Hii imekuja baada ya kusaini mkataba wenye thamani zaidi na kampuni ya Adidas.

via-Ayo's 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment