Facebook

Thursday, 17 July 2014

Louis Van Gaal kwenye mkutano wake na waandishi wa habari.Na hiki ndicho alichokisema..!!!

LOUIS VAN GAAL KWENYE MKUTANO WA KWANZA MBELE YA WAANDISHI. 

-Nitafanya jitihada zote kwenye hii timu kubwa duniani. Ndani ya siku 2 tayari nimeshajua umuhimu wa Manchester United.

-Nimefundisha Ajax timu namba 1 Uholanzi,Bayern namba 1 Ujerumani na sasa nipo Manchester United namba 1 Uingereza. 

-Kila mchezaji ana umuhimu wake kwenye nafasi yake,nahitaji muda kuchagua. Kati ya wiki 3 au 4 nitaona wachezaji kama wataendana na mfumo wangu. Kama sivyo,nitanunua wengine. 

-Paul Scholes tutamtafutia nafasi yake na Phil Neville. Hiko ndicho tunahitaji vilevile itabidi kiwezekane. Tunahitaji kusubiri na kuona. 

-Huwezi kuwa timu kubwa sababu kila msimu inabidi uthibitishe. Na msimu ulopita mlikuwa nafasi ya 7.
 Louis van Gaal kwenye mkutano na waandishi wa habari Old Trafford:

"Nitafanya jitihada zote kwenye hii timu kubwa duniani. Ndani ya siku 2 tayari nimeshajua umuhimu wa Manchester United."

"Nimefundisha Ajax timu namba 1 Uholanzi,Bayern namba 1 Ujerumani na sasa nipo Manchester United namba 1 Uingereza."

"Kila mchezaji ana umuhimu wake kwenye nafasi yake,nahitaji muda kuchagua. Kati ya wiki 3 au 4 nitaona wachezaji kama wataendana na mfumo wangu. Kama sivyo,nitanunua wengine."
 
 Salim Kikeke's photo.

"Paul Scholes tutamtafutia nafasi yake na Phil Neville. Hiko ndicho tunahitaji vilevile itabidi kiwezekane. Tunahitaji kusubiri na kuona."

"Huwezi kuwa timu kubwa sababu kila msimu inabidi uthibitishe. Na msimu ulopita mlikuwa nafasi ya 7."

 Salim Kikeke's photo.

 "Siwezi kutabiri chochote, kwa sababu huwezi kujua."

 Salim Kikeke's photo.

"Hii ni klabu kubwa duniani, katika siku mbili nilizokuwa hapa, tayari nafahamu jinsi Manchester United ilivyo muhimu, lakini pia najua umuhimu wa wafadhili. Nalazimika kuzoea katika klabu hii kubwa, haitakuwa kazi rahisi, lakini unaweza kuona vikombe ambavyo nimeshinda."

Photo: The manager at his new home: "It's not just the Theatre of Dreams, but the dream of Louis van Gaal."

 

HABARI ZILIZO PEWA UZITO KATIKA MKUTANO HUO

  Michael Carrick kukanjee kwa muda wa wiki 10 kocha wa Man united Van Gaal alithibitisha ,mchezaji huyo alie umia katika mazoezi ya siku ya Jumatano alipata majeraha katika kifundo cha mguu ambayo yata muweka nje ya uwanja kwa takribani wiki 10 akiongea kuhusu swala hilo Van Gaal alisema "Michael Carrick aliumia kwenye siku ya mwisho,hivyo kwa maoni yangu hilo nipigo kubwa kwani ni mchezaji mwenye uzoefu" 
 Alipo ulizwa kuhusu muda ambao Carrick atakaa nje alijibu hivi "ni muda mrefu kwangu mimi"

Van‬ Gaal asema anataka mabadiliko yafanyike katika uwanja wa mazoezi wa Carrington.

Akiongea katika mkutano wake wa kwanza na waandishi kama kocha wa Man united alisema "Uwanja wa mazoezi unahitaji marekebisho na nimesha wambia hilo swala,kwa sababu kwa sasa ni eneo lililo wazi na mara kwa mara kumwekuwa na upepo na siku zote upepo sio rafiki wa wachezaji na mpira kwa ujumla hivyo inabidi tulifanyie kazi swala hilo lakini vitendea kazi na miundo mbinu ni mizuri mno"


‪‎Kocha‬ Van Gaal amedokeza kwamba kuna wachezaji wapya watakuja,akiongea katika mkutano wake na waandishi wa habari alisema 

"Njia zangu za ufundishaji huwa ni zile zile,kwa sasa nataka niwaangalie wachezaji waliopo kwanza,nataka niwaangalie katika hii wiki ya kwanza nione yapi wanayoweza kuyafanya,alafu baada ya hapo ndio naweza nunua wachezaji wengine"
 
"Nataka nione kama hawa wachezaji wasasa wataweza kufuata falsafa zangu"


"Huwa si shawishiki na uzoefu wa wachezaji,nilisha sema mara nyingi kijana kama Clarence Seedorf alikuwa na miaka 16 nilimpa nafasi ya kucheza mechi yake ya kwanza (Ajax) kuna wakati alikua na uzoefu kuliko hata wachezaji wenye umri wa miaka 30,inategemea na uwezo wa mtu binafsi"


kocha wa Man United Van Gaal amesema mashabiki wasahau kuhusu nafasi ya Nne yeye anataka kuchukua ubingwa 

"Changamoto sio kuwa wa nne bali nikuwa wa kwanza" alitamka maneno hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari na pia alisema hawezi tabiri chochote ila atajaribu kuhakikisha kila matarajio ya mashabiki wa United yana timia."

‪‎Uhamisho‬ wa Evra kuelekea Juve umesubirishwa kwa sasa baada ya kuondoka kwa kocha wa Juventus Conte,ambapo mchezaji huyo amemwambia wakala wake kua asubirie kwanza aangalie mazingira.

‪Timu‬ ya AC milan ipo tayari kumsjili winga wa Man united,Luis Nani.
Van Gaal asema naharaka kumtaja kapteni mpya wa Man United alisema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari mapema leo 
"Wachezaji wote wapo katika kinyang'anyiro cha kumsaka nahodha mpya,lakini nataka niwafahamu wachezaji wote vizuri.Jukumu la unahodha ni la umuhimu sana hivyo ninahitaji muda,kuna wakati siku chukua muda kufanya hivyo nilifanya maamuzi ya haraka ambapo maranyingi haya kuwa mazuri ,ntatumia muda kumchagua nahodha mpya kwa sabubu ana umuhimu sana"

 IN ENGLISH

Van Gaal press conference in full

Louis van Gaal addressed the media for the first time since taking over as Manchester United manager...


On becoming United boss and being introduced to Sir Bobby....
First of all, I want to thank Sir Bobby Charlton because it's a great honour to come into this stadium and be guided by Sir Bobby Charlton. My first steps... okay, my first ones were with Bayern and Barcelona, but as a trainer/coach of United these were my first steps and I was very proud to do that with Sir Bobby Charlton. I have the age to have seen him playing so I know what he means for Manchester United and English football. It was a great honour to do that with him.


On getting the Reds back on top again...
I will do my utmost best. That's what I can give. I cannot give predictions because you never know. It's the biggest club of the world. Within two days, I know already how important Manchester United is but also how important the sponsors are. I have to work, I have to prepare a team, I have to adapt to this big club. It shall not be easy but I will do my utmost best and, when you see my career, you can see what I have won. That's all I can say. The future shall show if I can do that again.


So you believe United are the biggest club in the world?
It's the biggest club because of how well it's known around the world. In sport, you are never the biggest club because every season you have to be prove. Last year, you were seventh so then you are not the biggest club. But it's well known all over the world. When I was in China or Brazil, people are talking about United when I was the coach of the Dutch team. That's the difference. There's a lot of expectation but it's also a great challenge because of that. Therefore, I have chosen this club. I worked for Barcelona - in my opinion, number one in Spain. I've coached Ajax - number one in the Netherlands, and I've coached Bayern Munich


Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata habari mbalimbali za muhimu zinazogonga vichwa vya habari duniani kote.

Imeandaliwa na.......
                                KATEMI P. METHSELA
                                     (0785 442 107) 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment