Floyd Mayweather ametangaza kuwa atapanda ulingoni kupambana na Marcos Maidana, Septemba 3 mwaka huu mjini Las Vegas.
Mayweather alimzidi Maidana katika mpambano uliozua utata mwezi Mei, na
alisema kuwa atarudiana na Muargentina huyo katika ulingo wa MGM Grand,
Las Vegas.
0 comments:
Post a Comment