Facebook

Friday, 4 July 2014

Mugabe aingia "vitani" tena na Wazungu.

 Photo: MUGABE AWASHUKIA WAZUNGU TENA
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewataka wakulima wazungu waliosalia nchini humo kutoa mashamba hayo kwa watu weusi.
"Tunasema hapana kwa wazungu wanaomiliki ardhi yetu, lazima waondoke," Bwana Mugabe amewaambia wafuasi wake kwenye mkutano wa hadhara.
Chama cha wakulima wazungu kimesema kinasikitika mvutano wa rangi unaibuka tena.
Wakosoaji wa rais huyo wanasema sera yake ya kuchukua mashamba yanayomilikiwa na wazungu ilisababisha kuporomoka kwa uchumi kuanzia mwaka 2000 hadi 2009.
Bwana Mugabe,90, ametawala Zimbabwe tangu uhuru mwaka 1980.
Mchambuzi wa BBC wa Zimbabwe, Stanley Kwenda anasema matamshi ya Bwana Mugabe yanashangaza, kwa kuwa serikali ilimaliza rasmi mpango wake wa mabadiliko ya sera ya ardhi karibu miaka miwili iliyopita.
 
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewataka wakulima wazungu waliosalia nchini humo kutoa mashamba hayo kwa watu weusi.
"Tunasema hapana kwa wazungu wanaomiliki ardhi yetu, lazima waondoke," Bwana Mugabe amewaambia wafuasi wake kwenye mkutano wa hadhara.
Chama cha wakulima wazungu kimesema kinasikitika mvutano wa rangi unaibuka tena.
Wakosoaji wa rais huyo wanasema sera yake ya kuchukua mashamba yanayomilikiwa na wazungu ilisababisha kuporomoka kwa uchumi kuanzia mwaka 2000 hadi 2009.
Bwana Mugabe,90, ametawala Zimbabwe tangu uhuru mwaka 1980.
Mchambuzi mmoja anasema matamshi ya Bwana Mugabe yanashangaza, kwa kuwa serikali ilimaliza rasmi mpango wake wa mabadiliko ya sera ya ardhi karibu miaka miwili iliyopita.

Related Posts:

  • Watu 10 wauawa katika mlipuko Nigeria   Ripoti kutoka kaskazini mwa Nigeria zinasema kuwa watu kadhaa wameuawa na mlipuko wa bomu karibu na mashine ya kutoa pesa ya ATM. Walioshuhdia walisema kuwa ,mwanamume mmoja alikaribia watu waliokuwa wamepanga fol… Read More
  • Wanajeshi wa Libya wafukuzwa Uingereza.   Wanajeshi kutoka nchini Libya wamerejeshwa nchini kwao kutokana na kukosa uadilifu wakiwa mafunzoni Uingereza huku wengine wakituhumiwa kufanya vitendo vya ukatili wa kimapenzi. Wanajeshi hao waliokuwa mafunzoni n… Read More
  • Rais masikini zaidi duniani apewa dola milioni 1Rais wa Uruguay Jose Mujika anasema kuwa amepewa dola millioni 1 ili kuuza gari lake aina ya Volkswagen. Bwana Mujica ,aliyejulikana kama rais masikini duniani kutokana na maisha yake ,alisema kuwa ombi hilo lilitoka kwa kion… Read More
  • Je,wajua kuna waombolezaji wa kulipwa ?   Kila Alhamisi na Ijumaa, shughuli katika mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya, huvurugika kwa sababu mamia ya waendesha pikipiki huzuia barabara kutokana na kukodiwa kuomboleza msiba kwa malipo. Kelele za saut… Read More
  • Obama aahidi kushirikiana na Republican   Kiongozi mpya wa Baraza la Senate la Marekani kutoka chama cha Republican na Rais Barack Obama wote wameahidi kumaliza mvutano wa kisiasa ambao umewavunja moyo wapiga kura wa Marekani. Wanachama wa Republican wa… Read More

0 comments:

Post a Comment