Neymar amekuwa akigonga vichwa vya habari katika magazeti ya Brazil asubuhi ya leo.
Namba 10 huyo wa Brazil akizungumza na waandishi wa habari jana, na alipoulizwa kuhusu 'uzito' alionao mabegani kutokana na michuano hii alisema "Ndio, katika Kombe la Dunia kuna shinikizo," alisema na kuongeza "Lakini naitazama kama ndoto yangu tangu utotoni. Nimekuwa nikiota kucheza Kombe la Dunia. Siku niliyomuona Ronaldo akifanya maajabu mwaka 2002, nilijiambia kuwa siku moja na mimi nataka nifanye hivyo. Na sasa zamu yangu imewadia. Nitacheza dhidi ya Colombia, kama vile nacheza mtaani tu."

0 comments:
Post a Comment