Ni shida sana watu wanakuwa nayo kila mtu anataka Ku-unlock Modem yake
ili aweze kuitumia laini tofauti na mtandao mmoja husika wa hiyo modem,.
Sasa leo wanacomplex tunawekana sawa hapa jinsi ya kutumia laini yeyote kwenye modem yako bila ku-unlock it, so lets start Complexers. As I told Today we will see how to use Any SIM card in any MODEM without unlocking it. As you must be knowing that we cannot use any simcard in any modem unless you unlock the modem. but in this article we will see how to use Any SIM in any MODEM without unlocking it. You will need Nokia PC suite for this Trick. So Download nokia pc suite from this link NOKIA PC SUITE After you have done download follow the below steps:
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
|
Sunday, 22 June 2014
Use any SIM CARD in any MODEM without unlocking it
Related Posts:
Hii kali:Wazungu waanzisha kipindi cha TV kuonyesha Wanawake wanaojifungulia porini. Kampuni ya Lifetime ya nchini Marekani imetangaza kipindi kipya cha Televisheni kitakachoonyesha wazazi vijana wakijifungua porini bila msaada wa madaktari wakati wa hatua zote za kujifungua lakini pia hawatakuwa na mala… Read More
Baada ya kiupigwa marufuku,Youtube yaruhusiwa nchini Uturuki.... Marufuku ya yaondolewa Uturuki Mahakama ya juu zaidi imesema kuwa kupigwa marufuku kwa Youtube kulikiuka uhuru wa watu kujieleza Se… Read More
Urusi yapiga marufuku uvutaji wa sigara kwenye masoko, migahawa na mahotelini Ile sheria ya kupambana na uvutaji sigara imeanza kutumika nchini Urusi ambapo sasa ni marufuku kuvuta sigara katika migahawa na maeneo mengine ya kupata huduma za chakula. Marufuku hiyo pia inatumika katika mahoteli na … Read More
Afrika Kusini yadorora kwa Hesabu na Sayansi Afrika Kusini imeorodheshwa chini ya Kenya na Nigeria Kuorodheshwa kwa Afrika kusini kama taifa linalofanya vibaya zaidi katika masomo … Read More
Hii kalo;wazungu watengeneza ndege inayotumia nguvu ya jua,na tayari imeanza kuruka. Ndege inayoendeshwa kwa kutumia nguvu ya jua ya Solar Impulse 2 aircraft ambayo ni ya pili katika mfululizo wa ndege za aina hiyo zinazotengenezwa nchini Uswizi leo imeanza safari yake ya kwanza kutoka katika kiwanja ch… Read More
Shukrani kwa taarifa yako muhimu. Ni kweli kusaidia kwa comer mpya ya kufungua yoyote modem.Here i ungependa kuwaambia katika uzoefu wangu mwenyewe jinsi ya kufungua Modem yangu huawei. Sasa siku mengi ya njia zilizopo kwa kufungua huawei modem.But i wamechagua kufungua code mbinu. I got code kufungua kutoka tovuti hii Onlinegsmunlock.com kisha unlocked huawei yangu Modem kwa urahisi
ReplyDelete