Facebook

Thursday, 3 July 2014

Timu ya taifa ya Rugby ya Kenya yajihakikishia kufuzu.

 Photo: Timu ya taifa ya Rugby ya Kenya imeichapa Madagascar 34-0 katika mchezo wa kufuzu kucheza Kombe la Dunia England 2015. Hata hivyo wanahitaji kushinda mchezo dhidi ya Zimbabwe siku ya Jumapili kujihakikishia kufuzu.
 
Timu ya taifa ya Rugby ya Kenya imeichapa Madagascar 34-0 katika mchezo wa kufuzu kucheza Kombe la Dunia England 2015. Hata hivyo wanahitaji kushinda mchezo dhidi ya Zimbabwe siku ya Jumapili kujihakikishia kufuzu.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment