Facebook

Thursday, 3 July 2014

Unajua alichokisema Shaffih Dauda kuhusiana na Ugomvi wa watangazaji wa Clouds Fm jana.?

 Photo: B12, Adam na Fetty..Acheni utoto. Kaeni chini muongee ili muyamalize. Mnawafaidisha Maadui zenu tuu..Angalia mpaka mmetuharibia Ofisi
"B12, Adam na Fetty..Acheni utoto. Kaeni chini muongee ili muyamalize. Mnawafaidisha Maadui zenu tuu..Angalia mpaka mmetuharibia Ofisi"
Hicho ndiocho alichopost Shaffih Dauda aliye Brazil kupitia ikurasa wake wa facebook (Shaffih Dauda

Baada ya post hiyo Edo Kumwembe  nae hakuwa nyuma kwani naye alizungumzia tukio hilo kupitia ukarasa wake wa facebook kama ifuatavyo.

"Watu wakigombana Studio sauti zinakatika sana....hakuna ambaye mdomo wake unakuwa usawa wa kipaza sauti tofauti na nilivyosikia. Kinyesi cha mtu aliyejisaidia wakati anatembea ni tofauti na kinyesi cha mtu anayejisaidia wakati amekaa......Nadhani nimeeleweka. Naendelea Kubrazuuuuuuka"

Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kujua kwa undani kuhusiana na chanzo cha ugomvi huo ambao hadi hivi sasa bado haujajulikana vizuri kama ilikuwa ni "IGIZO" au ni ugomvi wa kweli uliokuwa unawahusisha watangazaji hao watatu wa kipindi cha XXL kinachorushwa hewani na kituo cha Clouds Fm cha jijini Dar es Salaam.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment