Ubalozi wa Marekani nchini Uganda umetoa onyo ukisema kuna "tishio
dhahiri ..kutoka kundi lisilojulikana" kushambulia uwanja wa ndege wa
Entebbe.
Onyo hilo limechapishwa kweye tovuti ya ubalozi huo kufuatia
tahadhari nyingine iliyotolewa na mamlaka za Marekani siku ya Jumatano
ya kuimarisha ulinzi katika viwanja vya ndege vya Mashariki ya Kati na
Ulaya vyenye ndege za moja kwa moja kwenda na kutoka Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa za kiuchunguzi, kuna tishio thabiti kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe leo kati ya saa tatu usiku hadi saa tano- imesema taarifa hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa za kiuchunguzi, kuna tishio thabiti kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe leo kati ya saa tatu usiku hadi saa tano- imesema taarifa hiyo.
0 comments:
Post a Comment