2010 pale South Africa tuliishuhudia Uholanzi bora yenye kina Van Bomel,Sneijder wa Inter Milan.

Ilikuwa Uholanzi ambayo kabla hujakutana nayo unaogopa lakini walikosa bahati dhidi ya Spain usiku ambao Arjen Robben hatousahau katika maisha yake....
kikosi hiko kikaanza kupukutika kwa kocha wao kujiuzulu,captain kustaafu na wengi wa wachezaji wao kushuka viwango..

Louis Van Gaal alipochukua mikoba akaitengeneza tena uholanzi kupitia vijana na kuifanya ishinde mechi tisa za kufuzu lakini tatizo likatokea mara baada ya kuumia Kevin Strootman ambaye alikuwa mchezaji muhimu katika mfumo wao wa 4~3~3...
Maswali yakaja,je uholanzi watachezaje bila strootman? je watazoea mfumo mpya kwa muda mfupi?...
Lakini Louis Van Gaal ameyajibu hayo akaleta 3~5~2, akamfanya Kuyt ajihisi bado kijana, akampa Robben nafasi ajihisi yeye ni mtu muhimu,na pia kumfanya Sneijder ajione kama yule wa miaka minne iliyopita..angalia sub aliyofanya leo kisha angalia wapiga penalt aliowachagua wote ni wazoefu ..
MBINU ALIYOITUMIA KUWAMALIZA MEXICO.
kocha
wa uholanz Van Gaal alisema kuwa alitumia zile dakika za mapumziko ya
kunywa maji kwa wachezaji kubadirisha mifumo ya uchezaji

"nilikua nikitumia[mapumziko] kubadili mfumo kwenda 4-3-3 na baada ya pale tulitengeneza nafasi nyingi" Van Gaal alieleza baada ya filimbi ya mwisho katika dimba la Fortaleza

"nilikua nikitumia[mapumziko] kubadili mfumo kwenda 4-3-3 na baada ya pale tulitengeneza nafasi nyingi" Van Gaal alieleza baada ya filimbi ya mwisho katika dimba la Fortaleza
"Baada ya hapo tulikua timu bora na Ochoa aliokoa magoli vizuri sana,ni njia ya akili sana niliyo itumia kuwa tumia wachezaji"

"wachezaji walionesha wanataka kushinda mpaka mwisho wa mpira,hali ya hewa haikua nzuri kwa upande wetu lakini tulipambana mpaka mwisho,ushindi huu utatupa uwezo mkubwa sana wakujiamini"

Namkumbuka Yesu Kristu Alipoulizwa Na Je,?? Kama Watwambie Eeh Bwana
Wetu Njia Ya Wokovu Ndio Uzima Wa Milele Kwa Vipi Tuache Mali Pamoja Na
Fedha Zetu Za Biashara Yesu Alijibu kwa lugha ya kimombo "the Caesar Belong To Caesar And The
Lord Belong To Lord". "Ya Kaisari mwachie kaisari na Ya Mungu mwachie Mungu"
Hapa Namuona Van Gaal akikaribia kutimiza ndoto za Wadachi ya kubeba Kombe naona jinsi anavyo Wadanganya wapinzani.
Anatumia 4-3-3 lakn nyuma ya Pazia Ni 4-3-1-2 lakini Roben anacheza Kumi ya kuuakatikati, viungo watatu wanazunguka na kubadilishana nafasi lakn wawili ni mawinga Kuyt na Humphers Huku viungo wakipokeza na Kucheza Bruno Marten Indi.
"Ya Van Gaal Mpe Van Gaal "
Imeandaliwa na......

0 comments:
Post a Comment