
Mshambuliaji wa Uholanzi na Manchester United,Robin Van Persie anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo kwenye kambi ya timu ya taifa. Ni masaa 24 yamebaki ili wacheze na Argentina kwenye nusu fainali. Madaktari wanajitahidi kufanya kila mbinu kumsaidia apone haraka.
0 comments:
Post a Comment