Facebook

Tuesday, 1 July 2014

Nyumba ya ajabu,wapita njia wabaki modomo wazi.

Nyumba iliyojengwa kiaina yake, unajiuliza kuwa watu wanaweza kuishi vipi humo, wanalalaje, wanafanyaje shughuliu zao humo ndani kwa nyumba iliyojengwa juu chinim, chini juu. si mchezo...Nyumba iliyojengwa kiaina yake, unajiuliza kuwa watu wanawezaje kuishi humo, wanalalaje, wanafanyaje shughuli zao humo ndani kwa nyumba iliyojengwa juu-chini, chini-juu. si mchezo… wapita njia wenyewe wanaishangaa…

0 comments:

Post a Comment