Facebook

Thursday 4 June 2015

Chelsea yaikosa saini ya mfungaji bora wa Serie A,Mauro Icard.


Timu ya Chelsea imepigwa mweleka katika mbio zake za kumsajili mchezaji Mauro Icardi baada ya mchezaji huyo kusaini mkataba mpya wa miaka minne na Inter Milan ya Italy.
Mauro miaka 22 alikuwa anahusishwa na kuhamia Chelsea msimu huu.
Icardi alikuwa miongoni mwa wafungaji bora wa ligi ya Serie A Italia msimu wa 2014-15.

0 comments:

Post a Comment