Facebook

Thursday, 4 June 2015

Bale,Varane,Firmino kupishana na De Gea Man United.

Manchester United imeripotiwa kutoa Ofa ya Pauni Milioni 110 kwa ajili ya Gareth Bale na Raphael Varane.Wawili hao pia wanahusishwa na kuhamia Chelsea.
Lakini kwa mujibu wa Magazeti ya Spain, Cuatro na El Mundo, Real Madrid imeikataa Ofa hiyo ya Man United ya kuwanunua Bale na Varane ingawa wao wenyewe wanataka kufanya dili kumchukua Kipa wa Man United David De Gea.Huko Brazil Chombo cha Habari Sambafoot kimedai Man United wako mstari wa mbele kumnasa Staa mpya wa Timu ya Taifa ya Brazil Roberto Firmino anaechezea Klabu ya Bundesliga huko Germany, Hoffenheim, kwa Dau la Pauni Milioni 18.

Related Posts:

  • Ospina akaribia kutua Arsenal.   Ripoti nchini Ufaransa zinasema klabu ya Nice na Arsenal wameingia makubaliano ya mauzo ya Ospina kutoka klabu hiyo ya Ufaransa kujiunga na Arsenal. "Starsport revealed that representatives from Arsenal had bee… Read More
  • SCOLARI "AJIUZULU"    Vyombo vya habari za Brazil vinaripoti kuwa Luiz Filipe Scolari amejiuzulu nafasi yake na umeneja wa timu ya taifa.    Tangazo rasmi linatarajiwa kutolewa baadaye Jumatatu (leo).  Scolari … Read More
  • Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Kiungo wa Juventus Arturo Vidal, 27, amewapa matumaini zaidi Manchester United baada ya kukiri kuwa "angependa kuichezea moja ya klabu kubwa duniani" ingawa amesema hatolazimisha uhamisho wake (Independent) United pia … Read More
  • LIVERPOOL YAKAMILISHA USAJILI WA MARKOVIC   Liverpool wamekamilisha usajili wa winga kutoka Serbia Lazar Markovic kwa pauni milioni 20 kutoka Benfica. Markovic, 20, anakuwa usajili wa nne kwa Liverpool kipindi hiki. Markovic aliisaidia Benfica kushinda ligi … Read More
  • Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. TETESI ZA SOKA ULAYA Mshambuliaji wa Uholanzi na Bayern Munich Arjen Robben, 30, amekataa 'ofa' ya kujiunga na meneja wake Louis van Gaal, Old Trafford (Daily Telegraph),    Meneja wa Arsenal, Arsene Wenge… Read More

0 comments:

Post a Comment