Facebook

Thursday 4 June 2015

Liverpool watangaza kumsajili Milner.

James Milner: Midfielder will sign for Liverpool after the expiry of his Manchester City contract on July 1
Klabu ya soka ya Liverpool imetangaza kumsajili kiungo James Milner kutoka Manchester City kwa uhamisho huru.Liverpool wamesema kuwa wamekubaliana masuala binafsi na Milner na atajiunga na timu hiyo mwezi wa saba tarehe moja baada ya mkataba wake sasa kuisha  akiwa Manchester City.
Kilichobakia sasa kwa Milner ni kupimwa afya yake na kutambulishwa rasmi tarehe 1 mwezi wa saba.

0 comments:

Post a Comment