Imeripotiwa kwamba Angel Di Maria ameachwa
kwenye kikosi cha Real Madrid kitachopambana
na Atletico Madrid usiku wa leo baada ya jana
kuthibitika kwamba ameomba kuuzwa.
Friday, 22 August 2014
Di Maria awekwa kwando katika mechi ya Leo;Njia nyeupe Kuondoka Madrid.
Related Posts:
Chelsea yakamilisha usajili wa beki 'kisiki' kutoka Marekani.Klabu ya Chelsea imethibitisha kunasa saini ya beki wa kati Matt Miazga kutoka klabu ya New York Red Bulls inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Marekani. Matt Miazga amesaini mkataba wa miaka minne na nusu huku ada ya uhamisho ikiwa … Read More
Klabu ya Hannover 96 yanasa kifaa kutoka Besiktas.Klabu ya Hannover 96 inayoshriki Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) imethibitisha kumsajili Alexander Milošević kwa mkopo kutoka Besiktas huku katika mkataba kuna kipengele cha kumnunua mkataba utakapomalizika. -Ba… Read More
ARSENE WENGER AWANASA MAKINDA WAWILI KUTOKA NIGERIA.Klabu ya Arsenal iko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa wachezaji wawili kutokea nchini Nigeria, Kelechi Nwakali na Samuel Chukwueze ambao walipelekwa katika Jiji la London na mchezaji lijendari wa Klabu ya Arsenal… Read More
Tetesi zote za Usajili wa wachezaji barani Ulaya siku ya Leo Jumanne,26.Meneja wa Manchester United Louis van Gaal, alikuwa tayari kujiuzulu siku ya Jumamosi baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Southampton, lakini akabembelezwa asifanye hivyo na makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Ed Woodward (Sun), V… Read More
Mbwana Samatta asajiliwa rasmi na klabu ya KRC GENK ya nchini Ubelgiji.Mshambuliaji hatari Mbwana Ally Samatta 'Popa' ambaye aliibuka mfungaji bora katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika na kisha kujinyakulia Tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza Afrika.Amekamilisha usa… Read More
0 comments:
Post a Comment