Facebook

Sunday 12 April 2015

AJALI YA BASI:ABIRIA 2 TU WAPONYEKA WENGINE WAPOTEZA MAISHA KWA MOTO BAADA YA BASI HILO KUUNGUA MOTO

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Basi la Nganga linalofanya safari mkamba,/kidatu  kwenda mbeya limepata ajari mbaya sana baada ya  kugongana na lori.

Katika ajali hiyo wamepona watu wawili tu wengine wote wamepoteza maisha baada ya basi hipo kugongana na lori uso kwa uso kuwaka moto papo hapo.

0 comments:

Post a Comment