Facebook

Friday 10 April 2015

Huyu ndiye Mwizi aliyekamatwa na kulazimishwa kula mahindi mabichi.

Mwizi (pichani) alazimishwa kula mahindi mabichi baada ya kukutwa akiiba mahindi hayo shambani huko Bukoba mkoani Kagera.

Wamiliki wa shamba hilo baada ya kumkuta akiiba mahindi aliyojaza kwenye gunia, walimuamuru kukaa chini na kuyala yakiwa mabichi hadi yaishe, kitendo ambacho jamaa huyo alikubaliana nacho kwa kuogopa kipondo.

Unaonaje adhabu hii aliyopewa jamaa huyu? inatosha au ulipenda apewe adhabu gani?

0 comments:

Post a Comment