Borussia Dortmund imetinga Fainali ya Kombe la ujerumani (DFB-
POKAL)baada ya kuwabwaga Mabingwa Watetezi Bayern Munich kwa
Penati 2-0 kufuatia Sare ya Bao 1-1 katika Dakika 120 za mchezo
uliopigwa Allianz Arena.
Borussia Dortmund itacheza na Mshindi wa Nusu Fainali nyingine
inayochezwa Leo kati ya Timu ya Daraja la 3 Arminia Bielefeld na
Klabu ya VfL Wolfsburg.
Katika Nusu Fainali hii, Bayern walitangulia kufunga Bao la Dakika
ya 29 la Robert Lewandowski na Dortmund kurudisha Dakika ya 75
kwa Bao la mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang.
Katika Dakika za Nyongeza 30, Dortmund walibaki Mtu 10 baada ya
Mchezaji wao Kampl kupewa Kadi Nyekundu lakini mwisho Bao zilibaki
1-1.
Kwenye Mikwaju Mitano ya Penati, Bayern walikosa Penati zao zote 4
zilizopigwa na Xabi Alonso, Philipp Lahm, Mario Gotze na Kipa Manuel
Neuer huku Dortmund wakifunga 2 kupitia Sebastian Kehl na Ilkay
Gundogan.
Wednesday, 29 April 2015
Borussia Dortmund watinga fainali baada ya kuifunga Bayern Munich.
Related Posts:
Yanga vs Azam Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara linafunguliwa leo kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa wakali wa Jangwani Yanga SC kucheza na timu ya Azam FC, Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Masharik… Read More
Ligi Kuu Uingereza:Arsenal kukumbana na Manchester City hapo kesho.Uwanja-Emiraters Mashabiki-60,300 Timu-Arsenal vs man city Arsenal ni timu iliyoanzishwa mwaka 1889 kaskazini mwa jiji LA London Mpaka sasa Arsenal wamekutana Na man city mara184 ~Arsenal wameshinda Mara 93 ~Manchester city a… Read More
Diego Costa mchezaji bora Ligi kuu Uingereza.Diego Costa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Premier League kwa mwezi August kwa kuwapiku Cesc Fabregas (Chelsea), Nathan Dyer (Swansea),Gylfi Sigurdsson (Swansea) na Andreas Weimann (Aston Villa). Mourinho ambaye ndiye anayek… Read More
KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YANGA1. MWADINI ALI 2. SHOMARI KAPOMBE 3. ERASTO NYONI 4. DAVID MWANTIKA 5. AGGREY MORIS 6. BOLOU MICHAEL 7. HIMIDI MAO 8. SALUM ABUBAKAR 9. DIDIER KAVUMBAGU 10. KIPRE TCHETCHE 11. LEONEL SAINT PREUX AKIBA AISHI MANULA MUDATHIR YA… Read More
RATIBA ULAYA | UEFA Champions LeagueLeo Jumanne 21:45 Olympiakos Piraeus vs Atlético Madrid 21:45 Juventus vs Malmö FF 21:45 Liverpool vs Ludogorets 21:45 Real Madrid vs Basel 21:45 Monaco vs Bayer Leverkusen 21:45 Benfica vs Zenit 21:45 Galatasaray v… Read More
0 comments:
Post a Comment