Facebook

Saturday 11 April 2015

Ikay Gundogan kuungana na Mats Hummels kutua Man united.

Iikay Gundogan anatarajia kuungana na Mats Hummels kuelekea Manchester United na tayari Louis van Gaal ametenga kitita cha paundi milioni 50 kuwanasa nyota hao wawili wa Borussia Dortmund.

Taarifa zinaeleza kuwa Van Gaal ametenga paundi milioni 15 kuinasa saini ya Gundogan.
Lakini atapewa paundi milioni 150 kusajili nyota
wapya majira ya kiangazi mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment