Staa wa muziki Ben Pol, baada ya kuachia video ya ngoma yake inayokwenda kwa jina Sophia, akiwa amekwenda tofauti na ahadi mbalimbali alizokuwa amekwishazitoa awali kuhusiana na video hiyo, amezungumzia utofauti alioamua kutoka nao kupitia kazi hiyo.
msanii wa bongofleva nchini Ben Pol
Ben Pol ambaye ameamua kumtumia model mwenye albinisim katika kazi hiyo, tayari mapokezi ya kazi nzima
yakiwa na msisimko wa aina yake, Ben Pol amekuwa na
haya ya kusema kuhusiana na kile alichokifanya katika
kazi hiyo.
Wednesday, 22 April 2015
Ben Pol aelezea kuhusiana na "Video" yake mpya ya Sophia.
Related Posts:
Mtanzani afurahia kufungwa kwa meneja wake kisa ya usafirishaji wa madawa ya kulevya Japan.Msanii wa muziki Iryn Namubiru ambaye mwezi Mei mwaka 2013 alikamatwa na dawa za kulevya huko Japan, hatimaye ametuliza moyo wake baada ya mtuhumiwa anayedaiwa kumbambikiza dawa hizo, Ueno Kim kuhukumiwa miaka 13 jela na fain… Read More
Ndoa ya staa wa 'Bongo movie' yavunjwa rasmi na mahakama kisa Gari la zawadi. NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi na Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni jijini Dar kufuatia mgogoro wa muda mrefu. Hakimu aliamuru watalaka hao kugawana mali zote walizo… Read More
Picha za tuzo za Oscars 2015… Read More
Maelfu wamzika Mezzy B Dodoma jana.Aliyekuwa staa wa muziki wa Bongo fleva, marehemu Moses Bushagama a.k.a Mez B amezikwa leo katika makaburi ya Muhanga Maili Mbili huko Mkoani Dodoma, katika safari yake ya mwisho iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa waombolezaji… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 25BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika ku… Read More
0 comments:
Post a Comment