Facebook

Wednesday 22 April 2015

Wastara Juma apata ajali mbaya sana

Msanii Wastara Juma jana amepata ajali wakati akielekea nyumbani
kwake maeneo ya Tabata-Bima. Anasema hii ni ajali ya 9 na
ameomba maombi ya watu kwa kuandika haya

" DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA
MSIONIPENDA......hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila
mara natamani kuwa na amani na maisha yangu coz Mungu ana
sababu kuniacha niendelee kupumua mpaka leo ila kwa wanaochukia
kuona napumua wanatamani nizikwe hata mzima ila mtambue nina
watot 3 wananitegemea kwa kila kitu. sometimes mnasema nasikitika
sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya ya 9 sasa
tena ni mbaya sana za kufa kabisa ila labda nimo kwa wale
wanaopata ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo
napumua alhamdulilah dua zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae
mbali nami daah too much"

Una lipi la kumwambia bibiye huyu?

0 comments:

Post a Comment