Facebook

Wednesday 22 April 2015

Hawa ndio wale majambazi 4 waliokamatwa kwa wizi wa Elfu 75.

Salum Mtumwa, Alex Manguka, Mohammed Ally na Stephano Kikindi,
hawa ni wale vijana wanne waliokamatwa jana baada ya kumpora
mzungu na kumuibia elfu 75 Tsh. Kumbuka jamaa hawa pia
walimlazimisha mzungu huyu kuwapa ATM card yake na password ili
wakombe mkwanja wake wote. Ila kilichovutia ni jinsi yule jamaa
aliyejitolea kuwakimbiza hawa watu na kublock njia yao hali
iliyofanya polisi wawakamate.
Yaani pesa kidogo kama hii isababishe uende jela kweli?? Dah,
inasikitisha. una lipi la kuwaambia washikaji hawa waporaji?

0 comments:

Post a Comment