Wakati Liverpool leo wakiwa wanatimiza miaka 25 tangu washinde
ubingwa wa EPL. April 28, 1990 ndio ilikuwa siku ya mwisho kutwaa
uchampion wa England. Swali kwa wana Liverpool - wangapi walishuhudia timu hiyo ikitwaa ubingwa huo?
Tuesday, 28 April 2015
Liverpool watimiza miaka 25 tangu washinde ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza.
Related Posts:
Mmiliki wa klabu ya Manchester United,Malcom Glazer afariki dunia. Mmiliki wa club ya soka ya Manchester United Malcolm Glazer alieinunua club hiyo toka mwaka 2005, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 huku akiacha mke, watoto sita na wajukuu kumi na nne. Glazer aliyekua akiishi … Read More
Van Gaal apania kushinda taji la Lgi Kuu Uingereza Louis van Gaal anapania kushinda taji la ligi kuu ya England. Kocha mpya wa Manchester United , Louis van Gaal anapania kushinda taji la ligi kuu ya Uingereza katika mwaka wake wa kwanza tangu achukue usukani O… Read More
Wachezaji 2 wa Ujerumani wapata ajali Wachezaji 2 wa Ujerumani wajeruhiwa Italia Wachezaji wawili wa timu ya taifa ya Ujerumani itakayoshiriki kombe la dunia hukop Brazil mwezi ujaowamenusurika baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani wakiwa Italia. … Read More
Ulinzi waimarishwa kombe la dunia Brazil.....Unajua ni wanajeshi na polisi wangapi wamepangwa !!!! Mawaziri wa ulinzi nchini Brazil wameweka wazi kuwa zaidi ya vikosi vya kijeshi laki moja na nusu (150,000) vitasambazwa nchini humo kuhakikisha kunakuwa na usalama wa kutosha wakati mashindano ya mwaka huu ya k… Read More
Washindi wa ligi kuu Tz bara 2013/2014 wakabidhiwa zawadi zao Zawadi na tuzo zimetolewa kwa timu zilizofanya vizuri na wachezaji waliong’ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom 2013/2014 na kukabidhiwa zawadi kwa thamani ya pesa na vikombe leo na mdhamini wa ligi hiyo ambae ni Vodaco… Read More
0 comments:
Post a Comment