Facebook

Wednesday 22 April 2015

Google yapewa wiki 10 kujibu malalamishi

Habari kuu ya teknolojia wiki hii ni le ya muungano wa ulaya
uliolalamika kwamba Kampuni ya Google ilikuwa ikijipendelea zaidi
katika soko lake.
Google sasa ina wiki kumi kujibu malalamishi hayo
licha ya kusema kuwa haikubaliani na madai hayo na kwamba iikuwa
ikijiandaa kujitetea.

0 comments:

Post a Comment