Facebook

Wednesday 22 April 2015

Hili ndilo jipya kutoka tigo kuhusiana na huduma zao vyuoni.

Baada ya wimbi kubwa la wananchi ambao sio wanafunzi kukimbilia sehemu za vyuoni ili kujiunga na huduma nzuri za mitandao hususani dakika za mawasiliano na "internet bundle" leo hii wametangaza zoezi la kuwaandikisha wanafunzi wote wa vyuo nchini kwa namba zao za simu ili kuzuia wale ambao si wanafunzi kutumia huduma hizo.

Huu hapa chini ni waraka wa tigo kwa wananchi.

0 comments:

Post a Comment