Facebook

Saturday 11 April 2015

AGUERO-BADO TUNAWEZA KUSHINDA LIGI.

Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero amesisitiza kuwa
bado wanaweza kushinda Ligi Kuu ya England, licha ya kuwa pointi
tisa nyuma ya Chelsea wanaoongoza ligi.
"Bila shaka bado tunaweza kushinda," amesema Aguero akizungumza
na gazeti la Manchester Evening News.
"Katika soka, chochote kinaweza kutokea"

0 comments:

Post a Comment