Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Wednesday, 29 April 2015

Rais Kikwete azindua meli 2 za kivita.

Rais Jakaya Kikwete amezindua meli vita mbili za doria Bahari Kuu ambazo ni TSN Msoga naTSN Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika jana kwenye Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam. ...

Pacquiao atamba kumchakaza Mayweather

Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya dunia kushuhudia mpambano wa karne wa mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao,Bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao ametamba kumchakaza mpinzani wake kwenye mpambano utakaofanyika Mei 2 mwaka huu katika ukumbi wa Mgm Grand Vegas Akiwa amezungukwa na mamia ya washabiki...

Barcelona wazidi "kuchanja mbuga" La Liga.

Vinara wa La Liga FC Barcelona Jana Usiku wameishindilia Getafe Bao 6-0 na kupanda kuwa mbele ya Timu ya Pili Real Madrid kwa Pointi 5. Mabao ya Barca yalifungwa na mshambuliaji wao hatari Lionel Messi aliyefunga mara mbili huku, Luis Suarez nae akitupia kambani mabao mawili , Neymar na Xavi wakifunga...

Borussia Dortmund watinga fainali baada ya kuifunga Bayern Munich.

Borussia Dortmund imetinga Fainali ya Kombe la ujerumani (DFB- POKAL)baada ya kuwabwaga Mabingwa Watetezi Bayern Munich kwa Penati 2-0 kufuatia Sare ya Bao 1-1 katika Dakika 120 za mchezo uliopigwa Allianz Arena. Borussia Dortmund itacheza na Mshindi wa Nusu Fainali nyingine inayochezwa Leo kati ya...

Jeshi la Nigeria lawaokoa watoto wa kike 293 kutoka katika kambi ya Boko Haram.

Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa watoto wa kike mia mbili na akina mama tisini na tatu kutoka katika kambi ya Boko Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Jeshi hilo limesema watoto hao waliokolewa si kati ya wale waliotekwa mwaka mmoja uliopita na kundi la kiislamu...

Tuesday, 28 April 2015

HIZI NDIZO FAIDA ZA KUNYWA MAJI MWILINI

1: Kupunguza uzito: Kunywa maji mengi kunasaidia kupunguza uzito, kwani maji hayana mafuta, kalori wala sukari. 2: Afya ya moyo: Unywaji wa maji mengi kunaweza kupunguza hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo. Utafiti wa miaka sita uliofanywa Marekani umeonesha kuwa watu wanaokunywa glasi za maji zisizopungua...

Liverpool watimiza miaka 25 tangu washinde ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza.

Wakati Liverpool leo wakiwa wanatimiza miaka 25 tangu washinde ubingwa wa EPL. April 28, 1990 ndio ilikuwa siku ya mwisho kutwaa uchampion wa England. Swali kwa wana Liverpool - wangapi walishuhudia timu hiyo ikitwaa ubingwa huo? ...

Babake mzazi Kim Kardashian ajitangaza kuwa ni 'Mwanamke'

Bruce Jenner aliyekuwa mwariadha bora duaniani kabla ya kuwa nyota wa kipindi cha televisheni na familia moja maarufu duniani ''The Kardashians''. sasa amefichua siri ambayo amekuwa akiificha kwa miaka mingi. ''Kwa nia na madhumuni yote, mimi ni mwanamke.'' Jenner aliambia Sawyer kutoka ABC katika mahojiano...

Watu zaidi ya 5000 wafariki dunia baada ya tetemeko kubwa la ardhi huko Nepal.

Idadi ya watu ambao wamethibitishwa kuaga dunia wakati kulipotokea tetemeko kubwa la ardhi nchini Nepal siku ya Jumamosi imepanda hadi zaidi ya watu 5000. Utawala unasema kuwa zaidi ya watu 10,000 walijeruhiwa. Serikali ya Nepal inasema kuwa imelemewa na kiwango cha janga hilo. Waziri mkuu Sushil Koirala...

Madereva wa mabasi ya abiria wapanga kugoma tena.

Siku 17 baada ya madereva wa mabasi mchini kugoma na kutikisa nchi , Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani ( Taboa) kimetangaza mgomo mwingine nchi nzima . Mgomo wa Aprili 9 , mwaka huu uliodumu kuanzia alfajiri hadi saa 7 :00 mchana ulitikisa nchi na kuwaathiri abiria wengi waliokuwa wanasafiri kwenda...

Manny Pacquiao atua Las Vagas tayari kwa pambano dhidi ya Mayweather.

Manny Pacquiao atua Las Vegas tayari kwa pambano lake la kihistoria dhidi ya Floyd Mayweather. ...

Sunday, 26 April 2015

TUTIZAME HAYA MACHACHE KUELEKEA PAMBANO LA ARSENAL DHIDI YA CHELSEA NA MCHAMBUZI NICASIUS COUTINHO SUSO

Usimchukie Mourinho na mbinu zake, katika wakati kama huu unahitaji Ulinzi ufanye kazi kuliko ushambuliaji, hii ni akili nyepesi na nzuri ambayo wengi uipuuza. Coquelin vs Fabregas?  Utamu upo hapa, akishinda huyu mfaransa Mashabiki hawatomkumbuka Fabregas,  akishindwa Wenger atazungumzwa sana Leo, na majuto mengi. Mesut Ozil.. Yupo katika kiwango ambacho hata mimi ningefurahia kucheza...

Uchambuzi wa mechi kali za leo Ligi Kuu Uingereza.

Everton vs Man United 14:30    Tukianzia katika mchezo wa mapema kabisa majira ya sa 14:30 vijana wa Martinez ambao wamekumbuka shuka pamesha kucha watakwaana na Man Utd.      Licha ya matokeo mazuri ya hivi karibuni bado hali si shwari kwa Everton kwani mpaka sasa wapo...

Saturday, 25 April 2015

IIkaay Gundogan mbioni kutua Manchester United.

Habari za ndani kuptia chombo cha habari cha skysports kimeripot kuwa klabu ya Manchester United inakarbia kupata Saini ya kiungo matata toka klabu ya Borussia Dortmund,Ilkay Gindogan kwa dau la paund milion 21.5. Gundogan mkataba wake na Dortmund unaisha msimu huu na atakua mchezaji huru hvyo Borussia...

Man United yampatia donge nono De Gea kumbakisha.

Kocha wa Manchester United Luis Van Gaal amegeuza karata kwa David De Gea kwa kusema kuwa klabu imempa pesa nyingi iliabakie Manchester huku mkataba wake ukiatarajiwa kuisha msimu ujao, United waneweza wakajikuta wanalazimika kumuuza mchezaji bora wa msimu ulio pita wa Manchester United,uhamisho ambao...

Thursday, 23 April 2015

Volcano ya ajabu yalipuka Chile.

Volcano aina ya Calbuco imelipuka kwa muda mfupi huko nchini Chile ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya zaidi ya miaka 40. Watu waliokuwa wakiishi maeneo jirani na ulikotokea mlipuko wa Volcano hiyo wamelazimika kuyahama makazi yao. Picha za televisheni zilionyesha wingu zito na majivu vikipanda hewani...

BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO ALHAMIS 22,2015.

BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma magazeti yote ya leo.   ...