Thursday, 24 April 2014
Diamond ana haha kufanya collabo na Beyonce.........fuatilia hapa......
Hii Habari nimeisoma katika Gazeti moja Jana kuwa Diamond anahangaika kuwasiliana na Beyonce ili wafanye Wimbo Pamoja , Inasemekana Diamond alitafuta Number ya Beyonce kwa bahati nzuri akaipata na kumpigia simu na kumweleza anachotaka ila Beyonce akamkatiza na Kumuuliza huna Manager ? na Kisha kukata simu
..kwani Maswala ya Kazi Kwake lazima yapitie kwa Manager akiwa na Maana kuwa Manager wa Diamond Awasiliane na Manager wa Beyonce ndio Waanzia hapo kama kikieleweka poa , Mhh Goodluck Brother kama ni kweli na Ufuate Protocol
Related Posts:
Daktari anena na Kusema Kuambiana Amejiua !!!!! IMEVUJA! Siku chache baada ya kifo cha mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Philip Kuambiana, daktari mkubwa wa mastaa ameibuka na kudai marehemu alijiua mwenyewe. Kwa mujibu wa daktari huyo ambaye hakup… Read More
Wimbo wa Pharrell 'Happy' wazua zogo Iran Kanda hiyo inaonyesha watu wakicheza katika barabara za mjini Tehran Kikundi cha mashabiki wa muziki nchini Iran walioiga wimbo maarufu… Read More
Wachezaji tenisi maarufu dunianji wahairisha kufunga ndoa kimaajabu..... Mchezaji gofu Rory McIlroy amevunja uchumba na mchezaji tenis Caroline Wozniacki. Mchezaji gofu nambari kumi duniani Rory McIlr… Read More
Mlela Kuoa Mwanamke Aliyemzidi Umri..... STAA wa filamu Bongo, Yusuf Mlela ametoa kioja cha aina yake baada ya kufunguka kuwa akifika hatua ya kuingia kwenye ndoa anataka mwanamke atakayemzidi umri. Tofauti na vijana wengine ambao wanapenda kuoa wake wadog… Read More
Rapper Fabolous amepata ajali mbaya Fabolous ambae ni Rapper wa longtime kwenye chati za muziki duniani ambae amewahi kuja kufanya show Tanzania, amepata ajali huko Queens New York Marekani. Baada ya ajali hiyo Fab amemshukuru Mungu kwa kumu… Read More
0 comments:
Post a Comment