Nyoka mkubwa jamii ya Chatu amemmeza mwanafunzi wa kike huko nchini
Nigeria. Binti ambaye ni mtoto pekee wa mama mmoja huko Nigeria,
amemezwa na chatu huyo baada yakuwa amebaki peke yake darasani baada ya
muda wa masomo na ndipo nyoka huyo mkubwa akaja na kummeza.
Kwa mujibu wa
chanzo kimesema kuwa, nyoka huyo inasemekana ametumwa na rafiki wa
karibu wa mama wa binti huyo ambaye amehangaika kwa muda wa miaka 20
sasa baada ya kuolewa pasipo pata mtoto, hivyo akaamua kumtumia chatu
huyo kuja kumla mtoto wa rafiki yake ili na yeye aweze kuwa katika hali
kama yake ya kutokuwa na mtoto.
0 comments:
Post a Comment