Kipenzi
cha mashabiki: Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs
akiwapigia makofi mashabiki Uwanja wa Old Trafford baada ya kuiwezesha
timu kushinda mabao 4-0 jana dhidi ya Norwich City katika mechi ya Ligi
Kuu England ambayo ilikuwa ya kwanza tangu arithi mikoba ya David Moyes
aliyefukuzwa wiki hii.
Furaha imerudi: Ushindi huo umeisogeza United jirani na Tottenham inayoshika nafasi ya sita
Maarufu: Kocha mpya wa Manchester United akisaini autographs za mashabiki Uwanja wa Old Trafford
Dream Team: Giggs akiwa ameketi na Wasaidizi wake, Nicky Butt, Paul Scholes na Phil Neville
Tunamuamini Giggsy: Mabango ya kumtukuza Giggs
Hivi ndivyo Giggs alipokelewa
Wayne Rooney alifunga bao la kwanza kwa penalti
Danny Welbeck ndiye aliyeangushwa kwenye eneo la hatari na Steven Whittaker
Rooney alimchambua vizuri kipa wa Norwich, John Ruddy aliyechupa upande tofauti na ulipokwenda mpira
Juan Mata alitokea benchi na kufunga mabao mawili
Ushindi
wa 4-0 ulikuwa mkubwa zaidi kwa United katika mechi za nyumbani, ambao
timu hiyo haikuwahi kuupata chini ya David Moyes Uwanja wa Old Trafford
Moyes kuna vitu inaonekana alikua akiwakwaza wachezaji hapa ndo naamini wale waliosema alikwaruzana na Giggs mazoezini
"I want to bring back the Man United style of playing"
Hii statement ninzito sana
"The 40-year-old promised a return to the
traditional Manchester United style of
play ahead of kick off, with "passion,
speed, tempo, bravery and imagination,"
To the fore.
"All of us have let ourselves down this
year, we haven't played to the quality
we are capable of but we did that this
afternoon," added Giggs. "
traditional Manchester United style of
play ahead of kick off, with "passion,
speed, tempo, bravery and imagination,"
To the fore.
"All of us have let ourselves down this
year, we haven't played to the quality
we are capable of but we did that this
afternoon," added Giggs. "
Hizi kauli za Giggs, Moyes huko aliko atakua ana kasirika sana.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata uchambuzi wa kina katika mechi mbalimbali
HAPPYBIRTHDAY MANCHESTER UNITED
0 comments:
Post a Comment