Facebook

Tuesday 29 April 2014

Ukawa mambo yapamaba moto watoa ratiba ya maandamano hii hapa.......


 
Wana jamvi kuna mdau amenirushia ratiba ya ukawa mikutano na maandano nchi nzima kuanzia tarehe april 30-mei 4 kama ifuatavyo; dr slaa,mtatiro na prof safari watakua dodoma na pwani;maalim Seif Shariff Hamad na Mabere Marando watakua mbeya;kabwe zitto na chiku abwao kilimanjaro,tindu lissu na lipumba mwanza,kagera.simiyu;pemba na unguja mbowe,anna komu na habibu mnyaa;tabora- kigoma;jussa na wenje;dar sugu na lema;tanga mdee na machemli;shinyanga;mnyika,shib uda na nassari;singida v-nyerere na opolukwa; taarifa zaidi zitatolewa kadri zitakavyo patikana kupitia njia zote 

0 comments:

Post a Comment