Mrembo Agness amefunguka kwa mara nyingine tena na kulalamikia wadau wanaofungua account fake kwenye social networks na kutapeli watu kwa kutumia jina lake. Mrembo huyo amepost picha na ujumbe huo hapa juu kupitia akaunti yake ya Instagram yake:
Duh ! Kweli watu wanapenda Miteremko .....hizo accounts zote ni Fake kwa jina la Masogange....mmhhh wabongo tujishughulishe................................
Ni katemimethsela.blogspot.com pekee sehemu ambayo unaweza kupata habari mbalimbali zinazowahusu mastaa kwa wakati muafaka bila zengwe.........
0 comments:
Post a Comment