Filamu hii ya mapenzi na vituko yenye mastaa kama Cameron Diaz, Leslie Mann,Kate Upton imefungua wiki kwa kuingiza dola milioni 24.7 upande wa North America, nakuishusha filamu ya Captain America: The Winter Soldier.
Kwenye interview kuhusu husika wa Nicki Minaj kwenye filamu hio Nicki alisema , “Nilikuwa najishtukia sana sababu niko pembeni ya muigizaji kama Cameron Diaz alafu nimesahau mistari ya kusema kwenye scene yangu”
Filamu ya “The Other Woman”ilitegemewa kuingiza dola milioni 17.
Hii sio filamu ya kwanza kucheza Nicki Minaj, sauti yake ilisikika kwenye filamu ya Ice Age: Continental Drift, iliyoingiza dola milioni 46 mwezi July 2012.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali za wasanii kwa wakati muafaka..............
0 comments:
Post a Comment