Waliteka vichwa vya habari hivi karibuni baada ya taarifa kusambaa
kuwa wamegombanishwa na mke wa Peter ‘Lola’ na kuwa Peter Na Paul
watasambaratika na kufanya kazi kama solo artist. Kaka wa P Square Jude
alitumia twitter kusema ” Baada ya miaka 10 ya kazi ngumu, amemaliza na
ameachana nao”
Hizi Twit zao za tarehe 25/4/2014 kuhusu familia yao.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali za mastaa zilizo sahihi kwa wakati sahihi zaidi bila zengwe...
0 comments:
Post a Comment