Facebook

Monday, 28 April 2014

Unataka kujua Moyes yuko wapi sasa hivi....fuatilia hapa......

 

......Wakati huu tukiendelea kupiga kelele nyingi kuhusu David Moyes...kumbe amesafiri na mke wake Pamela kwenda kupumzika Miami, Florida.. akiachana na kelele zetu.
 Tujiulize kama na sisi tunaweza kupigiwa kelele kisha tukaenda japo Zanzibar kupumzika. Ebu tufanye kazi...tuitafute pesa.....



Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata funununa habari mbalimbali kuhusu David Moyes na watu wengine walio mashuhuri...........

Related Posts:

  • BRAZIL YAPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI  -Brazil yapokea kichapo cha Mbwa mwizi katika mchezo wao wa jana na Ujerumani baada ya kutandikwa bao 7 huku wao wakiambulia bao 1 walilofunga dakika za majeruhi. - Huzuni ilitanda kwa mashabiki wa Timu ya Brazi… Read More
  • Afisa wa Match Hospitality akamatwa Maafisa wa polisi nchini Brazil wamemkamata afisa mkuu mtendaji wa kampuni mshirika wa FIFA kwa tuhuma za uuzaji tiketi za kombe la dun… Read More
  • Luiz "Tuwieni radhi Ujeruman ni timu bora" Luiz akilia baada ya kushindwa na Ujerumani Nahodha wa muda wa Brazil David Luiz amewataka mashabiki wa tim,u hiyo kote duniani kuwasamehe wachezaji w… Read More
  • Webb huenda akachezesha fainali Brazil Refa muingereza anayefahamika kwa ukakamavu wake Howard Webb ni miongoni mwa waamuzi 15 walioteuliwa kusalia Brazil kushiriki mechi zilizosalia za kombe la dunia. Webb mwenye umri wa miaka 42 ni miongoni mwa w… Read More
  • Van Persie hatihati kuwakosa Argentina. Mshambuliaji wa Uholanzi na Manchester United,Robin Van Persie anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo kwenye kambi ya timu ya taifa. Ni masaa 24 yamebaki ili wacheze na Argentina kwenye nusu fainali. Madaktari wanajitahidi kuf… Read More

0 comments:

Post a Comment