Facebook

Monday 28 April 2014

Suarez anyakua tuzo ya Mwanasoka bora Uingereza, Hazard mchezaji bora chipukizi...............


article-2614341-1D68BA0D00000578-539_634x462

Luis Suarez ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England jana baada ya kufunga mabao 30 msimu huu wa Ligi Kuu na kuisaidia timu yake, Liverpool kuongoza mbio za ubingwa.
Wazi tuzo hiyo inakuja kupoza machungu ya mchezaji huyo anayevalia jezi namba saba baada ya misimu iliyopita kufungiwa kwa kumkashifu Patrice Evra mwaka 2011 na kusababisha mzozo mkubwa msimu uliopita alipofungiwa mechi 10 kwa kumng’ata beki wa Chelsea, Branislav Ivanovic.
Akiwa amekosa mwezi wa kwanza wa msimu huu akitumikia adhabu hiyo, Suarez alirejea Liverpool mwishoni mwa September nmwaka jana na kuunda pacha kali la ushambuliaji kwa pamoja na Daniel Sturridge.
 Suarez akiwa amepeozi na Eden Hazard wa Chelsea, ambaye ameshinda tuzo ya mwanasoka bora chipukizi wa mwaka
Well-deserved: Liverpool striker Luis Suarez scooped the PFA Player of the Year award on Sunday night

WASHINDI WA AWALI WA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND

1973–74     Norman Hunter     Leeds United
1974–75     Colin Todd     Derby County
1975–76     Pat Jennings     Tottenham Hotspur
1976–77     Andy Gray     Aston Villa
1977–78     Peter Shilton     Nottingham Forest
1978–79     Liam Brady     Arsenal
1979–80     Liverpool     FWA
1980–81     John Wark     Ipswich Town
1981–82     Kevin Keegan     Southampton
1982–83     Kenny Dalglish     Liverpool
1983–84     Ian Rush     Liverpool
1984–85     Peter Reid     Everton
1985–86     Gary Lineker     Everton
1986–87     Clive Allen     Tottenham Hotspur
1987–88     John Barnes     Liverpool
1988–89     Mark Hughes     Man United
1989–90     David Platt     Aston Villa
1990–91     Mark Hughes     Man United
1991–92     Gary Pallister     Man United
1992–93     Paul McGrath     Aston Villa
1993–94     Eric Cantona     Man United
1994–95     Alan Shearer     Blackburn Rovers
1995–96     Les Ferdinand     Newcastle United
1996–97     Alan Shearer     Newcastle United
1997–98     Dennis Bergkamp Arsenal
1998–99     David Ginola     Tottenham Hotspur
1999–2000     Roy Keane     Man United
2000–01     Teddy Sheringham     Man United
2001–02     Ruud van Nistelrooy     Man United
2002–03     Thierry Henry     Arsenal
2003–04     Thierry Henry     Arsenal
2004–05     John Terry     Chelsea
2005–06     Steven Gerrard     Liverpool
2006–07     Cristiano Ronaldo     Man United
2007–08     Cristiano Ronaldo     Man United
2008–09     Ryan Giggs     Man United
2009–10     Wayne Rooney     Man United
2010–11     Gareth Bale     Tottenham Hotspur
2011–12     Robin van Persie     Arsenal
2012–13     Gareth Bale     Tottenham Hotspur
Double delight: Gareth Bale won both the Player of the Year and Young Player of the Year awards on Sunday
Tuzo mbili: Gareth Bale alishinda tuzo zote, Mwanasoka Bora chipukizi na Mwanasoka Bora England mwaka jana

0 comments:

Post a Comment