Facebook

Monday, 28 April 2014

Dj Fetty auanika mjengo wake mtandaoni....ni noma sana.........


 
Leo kupitia mtandao wa instagram, Fatuma al-maarufu kama
 Dj Fetty ameuweka hadharani mjengo unaosadikika kuwa ni
 
 wake ukiwa katika hatua za ujenzi (bado unaendelea
 kujengwa)...post hiyo imetuacha wengi bila ya majibu zaidi
  ya kuweza kuotea/kufikiri kama waweza kuwa ni mali yake
 kufuatia status aliyoiandikia..

#  big up mtu mzima Fetty kwani ni
 moja ya hatua kubwa sana katika maisha
 Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze 
kujua maisha ya mastaa mbalimbali na maendelea
 wanayoyafanya kwa ujumla

0 comments:

Post a Comment