Facebook

Monday, 28 April 2014

Dereva wa bodaboda anusurika kifo baada ya kugongwa na gari.........



Imetokea leo hii asubuhi maeneo ya manzese baada ya kunusurika kugongwa na gari dogo aina ya Toyota Corrola na chanzo cha ajali hiyo inasemekana kuwa ni uzembe na haraka ya dereva wa bodaboda hiyo aliyekuwa anawahi bila kufuata taa za barabarani..................Nashukuru mdau wa blog hii ya katemimethsela.blogspot.com kutupa habari zinazojiri eneo hilo kwa wakati na muda muafaka 


Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu katemimugisha@gmail.com au Whatsapp namba +255 785 442 107.

0 comments:

Post a Comment